Loading...
title : Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China.
link : Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China.
Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China.
Kufuatia hatua ya kusainiwa Mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na China kuruhusu bidhaa za Muhogo mkavu kutoka Tanzania kuingia katika soko la china, mzigo wa kwanza wa kontena nne(4) za muhogo mkavu kutoka Tanzania zimeingia China wiki hii kupitia Bandari ya Qingdao. Tukio hili la Kihistoria linafungua ukurasa mpya wa zao la muhogo kuwa miongoni mwa mazao ya biashara, hivyo Serikali inawahimiza Watanzania kuchangamkia fursa hii.
Sehemu ya magunia yenye muhogo huo kutoka Tanzania yakipakuliwa.
Sehemu ya Muhogo huo.
Hivyo makala Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China.
yaani makala yote Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mzigo-wa-kwanza-wa-muhogo-mkavu-kutoka.html
0 Response to "Mzigo wa kwanza wa Muhogo mkavu kutoka Tanzania waingia China."
Post a Comment