Loading...

NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA

Loading...
NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA
link : NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA

soma pia


NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA

Pichani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, alipokwenda kuwajulia hali watoto hao wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao walikuwa wamelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kabla ya kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa Mkoani Iringa 
 
Watoto Maria na Consolata ambao ni mapacha walioungana wamefariki Dunia usiku huu katika hospitali ya Rufaa mkoani Iringa.Chanzo cha taarifa ya kufariki kwa watoto hao imetolewa usiku huu na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela kupitia ukurasa wake wa Twitta kama unavyoonekana hapa chini.

TAARIFA ZAIDI TUTAWAJULISHA KADIRI YA ZIKAVYOKUWA ZIKIENDELEA KUPATIKANA.

MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN



Hivyo makala NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA

yaani makala yote NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/newz-alert-watoto-mapacha-walioungana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA"

Post a Comment

Loading...