Loading...
title : Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni
link : Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni
Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa ziara fupi kukagua ujenzi wa chumba kitakachokuwa kinatoa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS) katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akizungumza na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Benjamini Sitta wakati wa ziara fupi kukagua ujenzi wa chumba kitakachotumia Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS) katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akioneshwa namna jalada ambalo taarifa zake tayari zimeshafanyiwa kazi na mfumo huo linavyoonekana katika Mradi wa Mfano unaotekelezwa katika Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ofis ya Waziri Mkuu
Hivyo makala Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni
yaani makala yote Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/prof-kamuzora-akagua-ujenzi-wa-chumba.html
0 Response to "Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za ardhi (ILMIS) Kinondoni"
Post a Comment