Loading...
title : TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA
link : TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA
TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA

Akitoa maelezo ya kutofungua mradi huo kwa mkuu wa wilaya ya Namtumbo kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge kitaifa alisema kuwa hawezi kufungua mradi huo kutokana na kumkosa mtu sahihi wa kumwuliza maswali ili aweze kujiridhisha na ujenzi wa daraja hilo .
Bwana Kabeho aliongeza kwa kumwambia mkuu wa wilaya kuwa haiwezekani kufungua mradi wakati wahusika waliojenga Mradi hawapo katika mradi wao na kina nipa wasiwasi kwa nini hawajafika katika mradi wao na mimi kukosa kujiridhisha kwa maswali ambayo ningeweza kuwauliza alisema Kabeho.
Pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Daraja hilo alitaka kuwauliza maswali wahusika wa mradi TANROAD ambao hawakujitokeza kuhudhuria ufunguzi wa daraja hilo na kuwashangaza wananchi wa kijiji cha Mkongo ambao walitegemea daraja hilo liweze kufunguliwa.
Hivyo makala TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA
yaani makala yote TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/tanroad-yadaiwa-kukwamisha-mradi.html
0 Response to "TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA"
Post a Comment