Loading...

TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA

Loading...
TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA
link : TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA

soma pia


TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA

Kutokana na faida waliyoipata mwaka 2017 hadi kutoa gawio la Sh1.5 bilioni kwa Serikali, Rais John Magufuli amesema wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wana haki ya kuongezewa mishahara.

Akizungumza leo Juni 21 wakati wa hafla ya Serikali kupokea gawio hilo kutoka TTCL, Rais amesema hata kama hajapandisha mishahara kwa watumishi wote wa Serikali lakini shirika hilo limeonyesha jinsi linavyotanguliza masilahi ya Taifa mbele.

“Tangu shirika hili lianzishwe mwaka 1993 halijawahi kutoa gawio. Uchapakazi wenu unaonekana. Ingawa sijaongeza mishahara kwa watumishi lakini ninyi ayayaya,” amesema Magufuli.

Serikali imepokea gawio kutoka shirika hilo ukiwa ni mwaka mmoja tangu lilipobadilishwa kutoka kuwa kampuni na kuanza kujiendesha kwa faida.

Rais ameyataka mashirika ya umma kujiendesha kwa faida na kutoa gawio huku akiyasisitiza kujiendesha kwa ufanisi.

Amesema mwaka 2005 kulikuwa na mashirika 92, lakini ni manne yaliyotoa gawio la Sh130.868 bilioni.

Baadaye yaliongezeka mashirika 24 yaliyotoa gawio la Sh149.3 bilioni mwaka 2006 na mwaka 2007 mashirika 38 yaliipa Serikali Sh677 bilioni.


Hivyo makala TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA

yaani makala yote TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/ttcl-mfano-wa-kuigwa-na-mashirika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TTCL MFANO WA KUIGWA NA MASHIRIKA"

Post a Comment

Loading...