Loading...
title : SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI
link : SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI
SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI
Kuelekea droo ya upangaji wa timu zitakazokutana katika hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unaambiwa hizi nchi si rahisi kukwepeka kwa Simba.Nchi ambazo Simba SC inaweza ikaangukia ni kati ya Algeria, Misri, DR Congo, Afrika kusini, Nigeria, Zimbabwe, Tunisia au Ivory Coast.
Lakini dalili zinaonyesha Afrika Kusini, Tunisia na DR Congo ni kati ya nchi ambazo Simba ina nafasi kubwa ya kupangwa nazo.
Nchi hizo zina timu mbili na uwezekano wa timu 3 zitakazoivaa Simba katika kundi lake ni kuanzia moja hadi 3 zinaweza kutokea katika nchi hizo
Hivyo makala SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI
yaani makala yote SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/simba-kukutana-droo-ya-upangaji-makundi.html
0 Response to "SIMBA 'KUKUTANA' DROO YA UPANGAJI MAKUNDI KIMATAIFA NA NCHI HIZI"
Post a Comment