Loading...

Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya.

Loading...
Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya.
link : Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya.

soma pia


Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya.

AFISA miradi kutoka shirika la SOS Pemba Ghalib Abdalla Hamad, akizungumza na Wazazi, Walimu wa skuli, mashekhe wa shehia ya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake, katika mdahalo wa kubaini changamoto za elimu, udhalilishaji, ajira za watoto na madawa  ya kulevya kwa watoto wa vitongoji, mdahalo huo uliofanyika mjini Chake Chake
MWALIMU wa Skuli ya Msingi Vitongoji Asha Mussa, akitoa changamoto za elimu na mafanikio waliyoyapata, baada ya kikao kilichopita cha walimu, wazazi, mashekhe wa shehia ya Vitongoji na Viongozi wa SOS Pemba, juu ya kujua changamoto za elimu, udhalilishaji, ajira za watoto na madawa ya kulevya kufanyika 
MMOJA ya wananchi wa shehia ya Vitongoji Mariyam Saleh Juma, akichangia katika kikao cha Wazazi, Walimu wa skuli, mashekhe wa shehia ya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake, akiwasilisha changamoto za elimu, alizokumbananazo kwa mtoto hadi kuhakikisha amerudi tena skuli

WAZAZI, Walimu wa skuli, mashekhe wa shehia ya Vitongoji Wilaya ya Chake Chake, wakifuatilia kwa makini mdahalo wa kubaini changamoto za elimu, udhalilishaji, ajira za watoto na madawa  ya kulevya kwa watoto wa vitongoji, mdahalo huo uliofanyika mjini Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman- Pemba)


Hivyo makala Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya.

yaani makala yote Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/wananchi-kisiwani-pemba-wapata-elimu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kubaini Changamoto za Elimu Udhalilishaji, Ajira za Watoto na Dawa za Kulevya."

Post a Comment

Loading...