Loading...

Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana

Loading...
Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana
link : Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana

soma pia


Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana

 Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi Tigo kanda ya Kaskazini, Aidan Komba akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh Milioni moja kwa mshindi wa Pili, Kanda ya Kaskazini wa Promosheni iliyowahusisha Mawakala mtandao wa Tigo kupitia Tigo Pesa, Justin Mbazi kutoka wilaya ya Same.
 Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi Tigo kanda ya Kaska,zini, Aidan Komba akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh Laki tano kwa mshindi wa tatu. Kanda ya Kaskazini wa Promosheni iliyowahusisha Mawakala mtandao wa Tigo kupitia Tigo Pesa, Vaileth Mkala.
Washindi wa Promosehni ya Mawakala wa Mtandao wa Simu za Mkononi ya Tigo kupitia Tigo Pesa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Tigo mara baada ya kukabidhiwa mifano ya Hundi baada ya kujishindia zawadi za Pesa katika Promosehini hiyo.


Hivyo makala Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana

yaani makala yote Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/washindi-wa-mawakala-wa-tigo-pesa-kanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana"

Post a Comment

Loading...