Loading...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA

Loading...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa  wa nne kulia akikata utepe kuzindua majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) uliofanyika leo jijini Dodoma na wanne kutoka kushoto ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu. 
aziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa  wa Tatu kulia akizindua majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) uliofanyika leo jijini Dodoma, wa pili kulia ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kulia akipokea cheti cha umalizaji wa ujenzi wa majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi kutoka kwa Waziri wa Afya,Maendeleo ya amii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa majengo hayo uliofanyika leo jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa mwenye suti ya bluu akikagua baadhi ya sehemu za majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi baada ya kuzindua majengo hayo yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) yaliyozinduliwa leo jijini Dodoma.
 aadhi ya viongozi na wananchi  wa Mvumi wilayani Chamwino waliojitokeza kumsikiliza na kushuhudia uzinduzi wa Majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) uliofanya na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo jijini Dodoma.PICHA NA WIZARA YA AFYA. 



Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA ELIMU YA AFYA MVUMI MKOANI DODOMA"

Post a Comment

Loading...