Loading...
title : BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA
link : BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA
BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mchezaji wa zamani wa simba Juma Luizio amereja katika timu yake ya zamani Mtibwa Sugar ili kukitumia kikosi hicho cha Mabingwa wa Kombe la Azam Sports Federation (FA).
Mabingwa wa kombe la FA leo wamefanikisha kuinasa saini ya Juma Luizio ambaye alitimka kwenda kucheza soka la kulipwa nchini Zambia katika Klabu ya Zesco kabla ya kuja kwa mkopo kwenye Klabu ya Simba.
Luizio aliyekuzwa na timu ya vijana ya Mtibwa Sugar amekuwa na msimu mbaya katika klabu ya Simba akiwa hapati nafasi kwenye kikosi cha Mabingwa hao wa Ligi Kuu Ya Vodacom msimu wa 2016/17.
Kurejea kwa Luizio kwenye klabu ya Mtibwa yawezekana ameenda kuziba nafasi ya Hassan Dilunga anayewaniwa na klabu ya Simba na kukiwa na uhakika wa tayari ya kumwaga wino kwa wekundu hao wa msimbazi.
Hivyo makala BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA
yaani makala yote BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/benchi-lamkimbiza-juma-luizio-simba.html
0 Response to "BENCHI LAMKIMBIZA JUMA LUIZIO SIMBA"
Post a Comment