Loading...

KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR

Loading...
KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR
link : KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR

soma pia


KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kutoka kushoto), akipata maelezo juu ya ubora wa silaha inayotumika katika kupambana na uhalifu baada ya kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akithibitisha ubora wa silaha baada ya kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani (kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, baada ya waziri kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mrakibu Mwandamizi, Paulo Sanga.
Sajenti wa Jeshi la Polisi, Kusekwa Machibya akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kutoka kushoto) baada ya waziri kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam. Wengine ni Maofisa wa jeshi kutoka Makao Makuu ya Polisi, walioongozana na waziri katika ziara hiyo.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, baada ya waziri kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR

yaani makala yote KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kangi-lugola-atembelea-makao-makuu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...