Loading...

MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA

Loading...
MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA
link : MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA

soma pia


MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike  akipokea saluti kutoka kwa Kamishna wa Utawala wa Magereza, Gaston Sanga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza jijini, Dar es Salaam, leo Julai 16, 2018.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake Makao Makuu ya Jeshi hilo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akikagua gwaride maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza.
Kamishna Jenerali mstaafu, Dkt. Juma Malewa(suti nyeusi) akimkaribisha Kamishna Jenerali mpya wa Magereza, Phaustine Kasike mara baada ya kumaliza kukagua gwaride rasmi lililoandaliwa na maofisa na askari wa Jeshi la Magereza.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini wakifanya mahojiano maalum na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike mara baada ya mapokezi Makao Makuu ya Jeshi hilo.


Hivyo makala MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA

yaani makala yote MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mapokezi-ya-kamishna-jenerali-mpya-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAPOKEZI YA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA"

Post a Comment

Loading...