Loading...

'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI'

Loading...
'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI' - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI'
link : 'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI'

soma pia


'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI'

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii

IMEELEZWA kuwa kumkamata mtuhumiwa kabla upelelezi haujakamilika ni moja ya sababu inayosababisha kesi kushindwa kumalizika kwa wakati na kusababisha haki kupatikana kwa mhusika kwa haraka.

Hakimu Mkazi, Augustine Rwizile ambaye ni Naibu Msajili wa Mahakama Kuu amesema hayo leo mkoani Morogoro alipokuwa akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari za Mahakama kwa lengo la kuwasaidia kuandika habari za mahakama kwa ufasaha.

Amesema mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa baada ya upelelezi kukamilika ndipo kesi ipelekwe mahakamani,  ili mshtakiwa akisomewa tuhuma zake basi  iweze kusikilizwa na kumalizika ndani ya muda ambao umepangwa.

"Kinachotakiwa kabla ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ni kufanyika kwa upelelezi,  kukusanya ushahidi na kisha mtuhumiwa apelekwe mahakamani hapo kesi itasikilizwa kwa haraka,"amesema Hakimu Rwezile.

Ameongeza kuwa,  " sehemu kubwa hapa kwetu, tunaanza na ukamataji, mtu anakaa mahabusu na baadae ndipo anapelekwa mahakamani, akisahapelekwa huko ndiyo upelelezi unaanza jambo ambalo si sahihi, na limekuwa likilalamikiwa na  watuhumiwa kuwa wamekaa mahabusu muda mrefu bila kuletwa mahakamani, jambo hilo huchangiwa na suala la upelelezi kutokukamilika".

Ameongeza matakwa ya sheria yanataka mtuhuhumiwa akikamatwa anatakiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24.

" Ikitokea mtuhumiwa amekamata na amefikishwa mahakamani halafu akatoa malalamiko kuwa baada ya kukamatwa amekaa mahabusu kwa muda mrefu basi hakimu unatakiwa kuliangalia suala hilo kabla hajaendelea na hatua nyingine, "amesema.

Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Habari , Elimu na Mawasiliano, Mahakama Mkuu ya Tanzania, Nurdin Ndimbe amewataka wanahabari kutumia mafunzo hayo ya siku tano kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu za mahakama wakati wa kuripoti taarifa za mahakama.


Hivyo makala 'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI'

yaani makala yote 'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI' mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kumkamata-mtuhumiwa-kabla-ya-upepelezi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "'KUMKAMATA MTUHUMIWA KABLA YA UPEPELEZI KUKAMILIKA KUNASABABISHA KESI KUTOMALIZIKA KWA WAKATI'"

Post a Comment

Loading...