Loading...

MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI

Loading...
MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI
link : MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI

soma pia


MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na watumishi raia, askari na maafisa (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Sajenti wa Jeshi la Magereza, Athumani Massawo, akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyaga,Mrakibu Mwandamizi Venance Mwamakula akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao, mkoani Shinyanga, leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Askari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Hivyo makala MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI

yaani makala yote MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/masauni-serikali-haitomvumilia-askari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASAUNI: SERIKALI HAITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI"

Post a Comment

Loading...