Loading...
title : *MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE*
link : *MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE*
*MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE*
MwambawahabariMkesha wa Wilaya ya Ubungo umefana kiasi cha kuombwa na wananchi upite kila robo.
Hayo yamejiri leo katika viwanja vya shule ya msingi Makuburi vilivyopo kata ya Mabibo wakati wa mkesha wa Mwenge wa Uhuru uliozindua miradi mbali mbali.
Katika mkesha huo wananchi walipata wasaa wa kuona makala nzima ya ukaguzi wa miradi pamoja na mechi ya kombe la dunia kati ya Ubelgiji na Ufaransa.
Baada ya hapo wananchi walipata fursa ya kuwaona baadhi ya wasanii wakitumbuiza live bila ya kiingilio.
Baadhi ya wasanii waliotumbuiza ni Dullah Makabila, Msaga Sumu, Isha Mashauzi, Vijana Ochestra na Juma Nature.
Baada ya show wananchi waliiomba serikali kukimbiza Mwenge angalau mara nne kwa mwaka ili waweze kupata miradi mingi ya maendeleo.
Ukitoa miradi ya maendeleo mara nyingi wasanii kama hawa kuwaona kiingilio ni kikubwa, Mwenge wa Uhuru ukipita utatusaidia kuwaona bure aliongeza Salim Idd mkazi wa Manispaa.
Hivyo makala *MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE*
yaani makala yote *MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE* Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala *MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE* mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mkesha-wa-mwenge-wilaya-ya-ubungo.html
0 Response to "*MKESHA WA MWENGE WILAYA YA UBUNGO WAFANA KIPEKEE*"
Post a Comment