Loading...

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Loading...
SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
link : SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

soma pia


SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na huduma kwa wateja Shirika la Bima (NIC) Elisante Maleko,katikati akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Zodo M Zodo(kushoto) baada ya kutembelea banda la maonesho ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam jana.kulia ni Ofisa Bima za Maisha Honest Valence. 
Huduma zikiendelea katika banda la NIC 
Mchungaji wa KKKT Mtaa wa Bonyukwa Bongye Lameck akijaza fomu ya moja ya huduma za bima zinazotolewa na Shirika la Bima la Taifa (NIC) jana wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam, kulia ni Honest Valence Afisa Bima wa NIC.
Picha ya Pamoja ya baadhi ya wafanyakazi wa NIC wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendele jijini Dar es Salaam 


Hivyo makala SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

yaani makala yote SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/shirika-la-bima-la-taifa-nic-langara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LANG'ARA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...