Loading...
title : SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI
link : SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI
SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI
Wachezaji wa Simba wakiwa katika mazoezi nchini uturuki.Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazoezi.
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya kuruka.
NA NOEL RUKANUGA.
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ameendelea kukinoa kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini uturuki.
Simba wameendelea kujifua katika jiji la Instabul nchini humo kikiwa na wachezaji wengi wapya ili kupata utulivu wa mazoezi kabla ya kurejea Dar es Salaam.
Hivyo makala SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI
yaani makala yote SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/simba-waendelea-kujifua-nchini-uturuki.html
0 Response to "SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI"
Post a Comment