Loading...

SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA

Loading...
SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA
link : SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA

soma pia


SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Uongozi wa klabu ya Singida United kupitia kwa Rais wake Dkt Mwigulu Nchemba imeendelea kuipiga tafu timu ya Yanga baada ya kuwapatia mchezaji mwingine wa kigeni raia wa Zimbabwe.

Huyu anakuwa ni mchezaji wa pili baada ya Jana kuweka wazi kuwa Kiungo kutoka JKU Feisal Abdala 'Fei toto' kuwa wamemruhusu kwenda kukipiga katika klabu ya wanajangwani hao ikiwa ni moja ya mchango wake wa kuisaidia Yanga.

Ikiwa imepita siku moja toka kuweka wazi hilo, leo Uongozi wa Singida umetuma baru Katibu Mkuu wa Yanga na nakala nyingine kwa TFF na Bodi ya ligi kuwapa taarifa kuwa mchezaji Elisha Moroiwa kuanzia sasa ni mali ya Yanga.

Barua hiyo iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Singida United   AbdulRahman Sima imeweka wazi kuwa mchezaji huyo tayari ameshapatiwa fedha zake zote na hadai mkataba wowotena lengo kuu ni kuisaidia Yanga.

Yanga ambayo ipo katika kipindi kigumu wakiwa wanaandamwa na ukata wa fedha pamoja na viongozi kujiuzulu mpaka sasa walikuwa wameshafanya usajili wa wachezaji wanne wakimrejesha Mrisho Ngasa na Deus Kaseke ambao awali walikuwa wanacheza kwenye timu hiyo.

Takribani wachezaji saba ndiyo waliokuwa na mikataba huku wengine wakiwa wanataka kuongezewa mikataba na dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 26 saa 6 usiku huku TFF wakisistiza hakutakuwa na muda wa nyongeza katika suala hilo.


Hivyo makala SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA

yaani makala yote SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/singida-united-yaendelea-kuipiga-tafu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SINGIDA UNITED YAENDELEA KUIPIGA TAFU YANGA"

Post a Comment

Loading...