Loading...

UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO

Loading...
UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO
link : UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO

soma pia


UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO

NA YEREMIAS NGERANGERA,NAMTUMBO.

Kata ya Namtumbo wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma imepanga kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji safi kwa kutumia milioni 6,500,000 za awali ,kuanza kujenga visima vya asili kusaidia kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji katika kata hiyo kwa muda mrefu.

Wakizungumza kwenye kikao cha Maendeleo ya kata hiyo mwenyekiti wa mtaa wa ushirika B bwana Zuberi Kipeleka na Ally kalonga mwenyekiti wa Mtaa wa Lusenti B katika kata hiyo,  walimshukuru Diwani wa kata hiyo Halfani Hamis Kigwenembe kwa kuibua wazo la kujenga visima vya asili ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji safi katika kata hiyo.

Mtendaji wa kata ya Namtumbo Zainabu Enock Maduhu alisema kuwa walipokea shilingi 6.500,000 kutoka kwa mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kama Rejesho la asilimia 20 ya makusanyo yaliyokusanywa katika kata hiyo na kupelekwa katika mfuko mkuu wa Halmashauri hiyo.

Maduhu alidai makusanyo yaliyopatikana katika mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo asilimia 20 ya mapato yaliyokusanywa katika kata yake ndiyo yaliyosababisha kurejeshewa shilingi 6,500,000 ikiwa ni asilimia 20 ya fedha aliyokusanya katika kata yake.



Hivyo makala UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO

yaani makala yote UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ujenzi-wa-visima-vya-asili-kupunguza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJENZI WA VISIMA VYA ASILI KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI NAMTUMBO"

Post a Comment

Loading...