Loading...
title : WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF
link : WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF
WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF
NA TIGANYA VINCENT
RS TABORA
9 JULAI 2018
SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imewataka wafanyakazi wasio katika sekta isiyo rasmi kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) ili waweze kupata huduma ya matibabu kwa uhakika na kiunua mgogo pindi watakaostafu na kuboresha maisha yao.
Alisema Serikali ya Awanu ya Tano imeamua kuhakikisha kuwa wananchi wote wa Tanzania ambao hakuajiriwa katika sekta rasmi wanapozeeka nao wanapata kiunua mgogo.
Akizungumza katika kampeni ya kuwaelimisha wananchi kujiunga na NSSF ili Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri alisema kuwa na afya bora itawawezesha kuwa na uhakika wa uzalishaji wakati wote.
Alisema Serikali imeamua kupeleka neema kwa wafanyakazi ambao walio katika zisizo rasmi ili nao wanapofikisha miaka 60 nao wapate pesheni itakayowafaa uzeeni.
Mwanri alisema pia wanachama hao kutoka sekta isiyo rasmi itamwezesha mwanachama yeye na mwenzake na watoto wao wanne kupata huduma ya matibabu bure kwa tumia kadi maalumu watakazopewa.
Kwa upande wa Meneja wa NSSF kwa upande wa Wilaya ya Igunga na Nzega Shimo Mussa alisema wanachama wa hiari ambao wanatoka katika sekta isiyo rasmi wanaweza kuanza kwa kutoa kila mwezi walau elfu 20 na baada ya miezi mitatu kumalizika watamuandalia kadi kwa ajili ya kupata matibabu.
Alisema kuwa na kadi itamsaidia kushiriki katika ujenzi wa viwanda hapa nchini kwa sababu watakuwa na uhakika wa uzalishaji maeneo yao ya kazi wakati wote bila hofu
Hivyo makala WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF
yaani makala yote WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wakazi-wa-tabora-wasio-katika-sekta.html
0 Response to "WAKAZI WA TABORA WASIO KATIKA SEKTA RASMI WATAKIKIWA KUCHAMKIA NSSF"
Post a Comment