Loading...
title : WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA
link : WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA
WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA
Na Agness Francis, Globu ya Jamii
WANAYANGA wamechukizwa na kitendo cha Mwenyekiti wa Kamati ya Yanga Abbasi Tarimba kuzungumza habari za klabu hiyo zisizokuwa na uhakika kwenye kituo cha redio.
Ambapo wamedai kuwa Mwenyekiti huyo ameongozana mpinga maendeleo wa Yanga Mohammedi Msumi kwenda redioni,ikiwa walichotegemea kutoka kwake ni kuelezea ameifanyia nini klabu hiyo toka alivyochaguliwa Juni 10 mpaka leo Julai 10 mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa matawi ya klabu ya yanga Tanzania Bakili Makele amesema kuwa fedha za Sportpesa zinatoka kwa mujibu wa mikataba na si kwa matakwa ya Tarimba kama anavyojinasibu kuwa amelipa wachezaji,ikiwa hakuna fedha yake yoyote iliyopokelewa klabuni.
Makele amekanusha kuwa hakukuwa na taarifa ya kuvunjwa kwa kamati hiyo ya Tarimba katika mkutano wao uliofanyika,ingawa wanachama hao walileta hoja hiyo mezani
Makele amesema katika hoja hiyo Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clement Sanga alikataa na kwa kuwa hakuwa na majukumu ya kuvunja mamlaka ya mkutano mkuu.
"Tunasikitika kwa hesmima ya Tarimba hapaswi kukurupuka kama anavyopokea taarifa kwa akina msumi na kuzifanyia maamuzi,sasa tunaamini adui mwingine wa maendeleo ya klabu ya yanga ni yeye,amesema Makele.
Hivyo makala WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA
yaani makala yote WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wanayanga-walia-na-abbasi-tarimba.html
0 Response to "WANAYANGA WALIA NA ABBASI TARIMBA"
Post a Comment