Loading...
title : MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS
link : MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS
MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS
Meneja wa Vodacom Tanzania (PLC), mkoani Mtwara, Charles Minungu (kushoto) akiwa na meneja wa vodashop Mtwara, Frank Daud wakimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/-mmoja wa washiriki wa kampeni ya Vodacom M-Pesa Tuzo Points, Eladius Lutha mkazi wa Naliendele katika hafla iliyofanyika Mtwara. Kupitia kampeni hii wateja 140 wa Vodacom walizawadiwa shilingi 25,000/-kila mmoja na baada ya kampeni kumalizika wateja 10 wa Vodacom nchi nzima watazawadiwa shilingi 500,000/-kila mmoja.
Hivyo makala MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS
yaani makala yote MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mkazi-wa-mtwara-alamba-mapesa-ya.html
0 Response to "MKAZI WA MTWARA ALAMBA MAPESA YA VODACOM TUZO POINTS"
Post a Comment