Loading...
title : BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA
link : BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA
BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Magari kadhaa yakiwemo malori ya kubeba mafuta, yanateketea kwa moto muda huu katika kituo cha Forodha cha Rusumo wilayani Ngara, mpakani kwa Tanzania na Rwanda. Taarifa za awali zinaeleza kuwa moto huo umeibuka kutokana na ajali ya moja ya magari hayo kugonga magari mengine, jirani na Ofisi ya Idara ya Uhamiaji. Aidha Ofisi kadhaa katika mpaka huo zinadaiwa kushika moto. taarifa zaidi itawafikia baadae.
Hivyo makala BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA
yaani makala yote BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/breaking-nyuzzz-magari-kadhaa-yadaiwa.html
0 Response to "BREAKING NYUZZZ....: MAGARI KADHAA YADAIWA KUSHIKA MOTO KATIKA KITUO CHA FORODHA CHA RUSUMO, NGARA"
Post a Comment