Loading...
title : Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna
link : Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna
Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna
Mkuu wa maandalizi ya kongamano la kimataifa la Karate chama cha Jundokan, mtindo wa Okinawa Goju Ryu Sensei Dr. Friedrich Gsodam mwenye 9 Dan toka mji wa Vienna, Austria ametuma barua ya kuialika Jundokan tawi la Tanzania.
Uthibitisho wa mwaliko huo ulipokelewa kupitia mkuu wa chama hicho tawi la Tanzania, sensei Fundi Rumadha mwenye Dan 4, na mum wenye kutambuliwa na chama hicho huko Okinawa, Japan.
Sensei Dr.Friedrich Gsodam dan 9 kushoto na sensei Gabriella wa Austria kulia, na sensei Fundi kati.
" European Jundokan Gasshuku", linategemewa kufanyika mwezi Julai 19 hadi 21 litawakusanya walimu wote wa chama cha Jundokan toka Okinawa, Japan na nchi za ulaya zote.
Pia, mwenyekiti wa chama hicho Sensei Kancho Miyazato na walimu wakuu walio kuwa naidhini ya ufundishaji wa semina toka chama kijulikanacho kama "Okinawan Budokan", ni sensei Tsuneo Kinjo dan 9, Tetsu Gima, dan 9 nk.
Tanzania ni nchi pekee katika Afrika mashariki kuwa chini ya Jundokan. Pia vilevile, ikiwa imesalia miezi miwili na nusu kwa maadhimisho ya kusheherekea miaka 65 tangu chama hicho kimeanzishea ambayo itafanikiwa huko kisiwa cha Okinawa.
Masensei wa Jundokan Austria chini ya mkuu wake Sensei Dr. Friedrich Gsodam, kulia.
Sensei Dr. Friedrich Gsodam dan 9 mkuu wa Jundokan Austria kushoto na mwnyekiti wa Jundokan duniani sensei Kancho Miyazato kulia.
Hivyo makala Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna
yaani makala yote Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/jundokan-austria-watoa-mwaliko-katika.html
0 Response to "Jundokan Austria watoa mwaliko katika chama cha Jundokan Tanzania semina 2019, Vienna"
Post a Comment