Loading...
title : DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI
link : DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI
DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamis Kigwangala amefikishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea leo asubuhi eneo Magugu Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara.
Gari la Waziri Kigwangalla limepata ajali leo asubuhi eneo la Magugu, Manyara. Ajali hiyo imesababisha kifo cha msemaji wa mizara hiyo, Hamza Themba
Hivyo makala DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI
yaani makala yote DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dkt-kigwangala-awasili-hospitali-ya.html
0 Response to "DKT. KIGWANGALA AWASILI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI"
Post a Comment