Loading...
title : DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA
link : DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA
DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA
Na Benny Mwaipaja, WFM, Mtwara
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, ameuahidi uongozi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele kwamba Serikali itakiwezesha Kituo hicho na vituo vingine vya utafiti nchini ili viendeleze kazi ya utafiti wa mazao ya kilimo ambacho kinategemewa na watanzania wengi katika kujikwamua kiuchumi.
Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo alipotembelea Kituo cha Utafiti Naliendele, mkoani Mtwara, ambacho uongozi wake ulielezea wasiwasi wake wa kupata rasilimali fedha za kuendeleza utafiti wa mazao likiwemo zao la korosho pamoja na watumishi baada ya kuondolewa kwa fedha za ushuru wa korosho inayouzwa nje, zilizokuwa zikitumika kuendeleza utafiti huo.
Alisema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa shughuli za utafiti katika kuendeleza uchumi na maendeleo ya nchi kwa ujumla na kwamba atajitahidi kama Waziri wa Fedha na Mipango kwa kushirikiana na Waziri mwenzake anayeshughulikia kilimo ili taasisi hiyo isikwame kufanya shughuli zake.
"Niwahakikishie kabisa kwamba Serikali haitakubali utafiti wa mazao yote unaofanyika hapa likiwemo zao la korosho udhurike, litakuwa ni janga kubwa, kwahiyo upatikanaji wa fedha za Kituo hiki litakuwa ni moja ya vipaumbele vyangu" alisisitiza Dkt. Mpango
Alisema kuwa kilimo ndiyo uti wa mgongo wa Taifa na kwamba hakutakuwa na mapinduzi ya viwanda bila kilimo kwa sababu viwanda vinavyojengwa vinatarajiwa kuongeza thamani ya mazo ya kilimo pamoja na mazao ya mifugo na uvuvi.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipata maelezo kuhusiana na zao la Korosho,alipotembelea Kituo cha Utafiti Naliendele, mkoani Mtwara
Mmoja wa Wataalamu pichani juu na chini kutoka kituo cha Utafiti Naliendele akifafanua jambo mbele ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipotembelea Kituo cha Utafiti Naliendele, mkoani Mtwara
Hivyo makala DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA
yaani makala yote DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dkt-philip-mpango-kituo-cha-utafiti.html
0 Response to "DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA ZA KUTOSHA"
Post a Comment