Loading...

FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA

Loading...
FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA
link : FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA

soma pia


FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesemaujenzi wa barabara ya juu katika eneo la Tazara umekamilika kwa asilimia 98 na itafunguliwa Oktoba mwaka huu na Rais Dkt. John Magufuli.

Mradi wa barabara ya juu (Mfugale flyover) chini ya ufadhili wa Serikali ya Japani, unalengo la kupunguza msongamano wa magari katika makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere.

Ameyasema hayo leo (Jumatano, Agosti 29 ,2018) baada ya kukagua ujenzi wa mradi huowa barabara ya juu katika eneo la Tazara jijini Dar Es Salaam.

Waziri Mkuu amesema ameridhishwa kazi ya umaliziaji wa mradi huo inayoendelea kwenye hilo.

“Mradi utapunguza muda wa usafiri katika barabara ya Nyerere hususani  kwa wananchi wanaotoka katikati ya jiji kwenda uwanja wa ndege na wanaotoka Buguruni, Temeke.”

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewaagiza viongozi Mkoa wa Dar Es Salaam watafute eneo kwa ajili ya  wafanyabiashara ndogondogo ili waweze kuondoka kandokando ya barabara hizo za juu zinazojengwa.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack Kamwelwe kuhusu barabara ya  juu ya TAZARA wakati alipokagua hatua za mwisho za ujenzi wa barabara hiyo jijini Dar es salaam Agosti  29, 2018. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  hatua za mwisho za ujenzi wa barabara ya juu ya eneo la TAZARA wakati alipokagua  ujenzi wa barabara hiyo  jijini Dar es salaam Agosti 29, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa   Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale kuhusu ujenzi wa barabara ya  juu ya eneo la TAZARA wakati alipokagua hatua za mwisho za ujenzi wa barabara hiyo jijini Dar es salaam Agosti 29, 2018. Watatu kushoto ni Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack Kamwelwe na watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaaam, Paul Makonda.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukagua hatua za mwisho za ujenzi wa barabara  ya juu katika eneo la  TAZARA jijini Dar es salaam Agosti 29, 2018.
 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wa barabara za juu katika  eneo la Ubungo jijini Dar es salaam Agosti 29, 2018. Watatu kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack Kamwelwe na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA

yaani makala yote FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/flyover-ya-tazara-imekamilika-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA"

Post a Comment

Loading...