Loading...

JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Loading...
JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA
link : JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

soma pia


JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Na Angess Francis Blogu ya Jamii

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza na kushiriki kwa wingi katika kufanya shughuli za usafi wakati maadhimisho ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kutimiza miaka 54 tangu kuanzishwa kwake.

JWTZ linatarajia kufikisha miaka 54 ifikapo Septemba 1 mwaka huu.Jeshi hilo lolianzishwa mwaka 1964.
Akizungumzia sherehe hizo Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano  wa JWTZ Kanali Ramadhani Dogoli amesema katika maadhimisho hayo ya mwaka huu jeshi limeanza kufanya  shughuli mbalimbali za kijamii  pamoja na kujishughulisha katika michezo.

“Itakumbukwa kila mwaka  inapofika tarehe hiyo bada ya kubadilishwa  jina kutoka Tanganyika Rifle (TR)  kuwa Jeshi la Ulinzi  la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

"Na sherehe hizo kila mwaka tumekuwa tukifanya shughuli za kijamii kwa kufanya usafi  kwenye maeneo ya kambi zote za jeshi na kushiriki katika michezo,”amesema.
Amefafanua michezo inayoendelea kuchezwa ni mpira wa miguu,Pete,wavu, golf na mingine na kwamba timu za jeshi na za uraiani ndizo zinashiriki michezo hiyo.
Kanali Dogoli amefafanua shughuli hizo zilianza kufanyika  Agosti 27  mwaka huu na kwamba zitaendelea hadi siku kilele cha sherehe hizo.

Hivyo limesisitiza umuhimu wa watanzania wote wenye mapenzi mema kungana kuadhimisha siku  hiyo kwa kujitokeza kufanya usafi katika maeneo yao wanayoishi na  kuyaweka katika hali ya usafi.


Hivyo makala JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

yaani makala yote JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/jwtz-kutimiza-miaka-54-septemba-1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JWTZ KUTIMIZA MIAKA 54 SEPTEMBA 1, LAHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA"

Post a Comment

Loading...