Loading...

MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL

Loading...
MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL
link : MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL

soma pia


MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL

Na Francis Daudi, Glogu ya jamii

MBUNGE wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali amtembelea Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) ambacho kimejidhatiti kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya Usafirishaji nchini Tanzania kwa kuzalisha wataalamu wengi zaidi ikiwa ni sehemu ya mkakati wao wa kutekeleza azma ya Serikali ya Awamu ya tano katika kujenga Tanzania ya Viwanda. 

Akizungumza leo chuoni hapo baada ya kupokelewa na Mkuu wa chuo hicho Profesa Zacharia Mginilwa, Gulamali amesema amefurahishwa na utendaji kazi sambamba na mikakati iliyopangwa katika kuhakikisha sekta ya usafirishaji inakua zaidi.Amesema kuwa amefurahi kuona chuo alichosoma kinaendelea kuzalisha wataalamu zaidi katika sekta ya usafirishaji ambayo inachangia uchumi wa Taifa kwa asilimia kubwa.

Pia chuo hichokinaonesha jitihada za kuunga mkono juhudi za Rais Dkt John Magufuli na amehaidi kutoa ushirikiano wa hali na mali pindi itakapohitajika.

Akiwa Chuoni hapo Gulamali alipata fursa ya kutembelea Shule ya usafiri wa anga (School of Aviation) yenye madarasa ya waendesha ndege, karakana maalumu za kutengeneza injini za ndege na baadaye alitembelea idara ya ukaguzi wa magari na kueleza kufurahishwa na utendaji kazi unaofanywa kwa kutumia teknolojia ya juu.
 Mbunge wa Manonga Seif Gulamali ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo cha usafirishaji nchini (NIT) mara baada ya kumaliza ziara yake chuoni hapo.
 Mbunge wa Manonga Seif Gulamali akikagua baadhi ya vifaa katika karakana chuoni hapo kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Zacharia Mginilwa.
Mbunge wa Manonga Seif Gulamali akiwa katika chumba cha uongozaji wa ndege katika chuo cha usafirishaji (NIT) mara baada ya kufanya ziara  Chuoni hapo.



Hivyo makala MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL

yaani makala yote MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mbunge-gulamali-aelezwa-namna-chuo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE GULAMALI AELEZWA NAMNA CHUO CHA NIT KILIVYOJIPANGA KUWAPOKEA WATALAAM WA BOEING ILI KUWANOA ATCL"

Post a Comment

Loading...