Loading...
title : MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI.
link : MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI.
MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI.
Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Shule ya Seminari ya Al Muntazir Islamic (Muntazir Islamic Seminary) amezitaka shule mbalimbali za hapa nchini kuwa na utamaduni wa kushiriki katika mdahalo jambo ambalo litasaidia kuongeza ufanisi kwa wanafunzi katika masomo yao.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga mdahalo (MWALIMU NYERERE SCHOOLS INV. DEBATE CHAMPIONSHIP) Mkurugenzi wa Shule zote za Al -Muntazir Islamic Mahmood Ladak, amesema kuwa ushiriki wa wanafunzi katika mdahalo unamuwezesha kujiamini na kufanya uchambuzi wa masuala mbalimbali.
Amesema kuwa mashindano ya mdahalo imewasaidia sana wanafunzi kuwa na uwezo wa kujieleza na kujiamini na utekelezaji wa mambo mbalimbali.
"Lengo la Mwalimu Nyerere Schools INV. debate Championship ni kuwajengea uwezo wanafunzi ili waweze kujiamini na na kutete hoja zao" amesema Ladak.
Hata hivyo ameishukuru Tanzania Competitive Phetoric Organization (TCRO) kwa kuandaa mdahalo ambao umewakutanisha shule mbalimbali kutoka barani Afrika.
Hivyo makala MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI.
yaani makala yote MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkurugenzi-shule-al-muntazir-islamic.html
0 Response to "MKURUGENZI SHULE AL MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY AFUNGA MASHINDANO YA DEBATE, AZIPONGEZA SHULE SHIRIKI."
Post a Comment