Loading...

UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR

Loading...
UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR
link : UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR

soma pia


UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR


Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) inatarajia kufungua ubalozi wake mdogo Zanzibar kabla ya kumalizika mwaka huu ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uhusiano wa kindugu katika nchi hizo.
Hayo yalisemwa na Waziri wa Nchi na Ushirikiano wa Kiamataifa wa (UAE), Reem Ibrahim Alhashimy alipozungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa majadiliano kati ya viongozi wa Serikali ya Zanzibar na (UAE) Mjini Zanzibar.
Alisema kufunguliwa kwa ubalozi huo kutazidisha ushirikiano uliopo na kuongeza kasi ya utekelezaji wa yale yaliyokubaliwa baina ya nchi hizo mbili.
Waziri Reem alisema madhumuni ya kuja Zanzibar ni kuihakikishia serikali na Wananchi wa Zanzibar kwamba UAE ipo tayari kutekeleza yale yaliyoahidiwa katika ziara ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein iliyofanyika nchini humo mwanzoni mwa mwaka huu.
“Binafsi mimi sio mara yangu ya kwanza kuja Zanzibar nimekuwa nikitembelea kutokana na uzuri wa Zanzibar na watu wake na hivyo kuna kila sababu ya kuendelea kushirikiana katika mambo yetu,"alisema.
Sekta muhimu ambazo UAE imeonesha nia ya kuisaidia Zanzibar ni pamoja na sekta ya afya, kilimo na miundombinu. Hata hivyo hakuainisha zaidi ni eneo gani kati ya Bandari na Uwanja wa ndege ambalo UAE wataweza kuisaidia Zanzibar.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Issa Haji Gavu alisema ziara hiyo imefungua matumaini makubwa kwa Zanzibar na kwamba itasaidia Zanzibar kujikwamua kiuchumi.Chanzo:habari leo.


Hivyo makala UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR

yaani makala yote UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/uae-kufungua-ubalozi-mdogo-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UAE KUFUNGUA UBALOZI MDOGO ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...