Loading...
title : MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA
link : MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA
MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara ya Afya) Dkt. Mpoki Ulisubisya akiongea na Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri wakati wa kufunga mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri hawapo pichani ,kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa OR-TAMISEMI Dkt. Zainabu Chaula.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali watu kutoka Wizara ya Afya Deodata Makana akiongea na Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri wakati wa kufunga mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri hawapo pichani uliofanyika jijini Dodoma.
Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri wakifuatilia kwa makini maada mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na wawasilishaji mbalimbali hawapo pichani wakati wa kufunga mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri uliofanyika jijini Dodoma.
Hivyo makala MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA
yaani makala yote MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkutano-wa-waganga-wakuu-wa-mikoa-na.html
0 Response to "MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA"
Post a Comment