Loading...
title : MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE
link : MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE
MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE
MKUU wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella leo Agosti 23, 2018 ameungana waombolezaji mbalimbali kushiriki mazishi ya Bi. Anna Makwega Manasse (81) ambaye ni bibi wa Mhe.Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es salaam.
Mazishi ya Bi. Manasse ambaye alifariki dunia juzi Agosti 21, 2018 akiwa katika hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu, yamefanyika katika makaburi ya nyumbani yaliyopo Kahangala wilayani Magu.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi wa serikali mkoani Mwanza, Mhe. Mongella amewaombea uvumilivu ndugu, jamaa na marafiki kutokana na msiba huo na kuwahimiza kumuombea kwa Mola ili apumzike kwa Amani. 

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella aliye kaa katikati waombolezaji mbalimbali kushiriki mazishi Bi. Anna Makwega Manasse (81) ambaye ni bibi wa Mhe.Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es salaam.
Mhe.Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiwa kwenye makaburi kwaajili ya kumzika bibi yake.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella akiweka shahada kwenye kaburi la Bi. Anna Makwega Manasse (81) ambaye ni bibi wa Mhe.Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es salaam.
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkuu-wa-mkoa-wa-mwanza-ashiriki-mazishi.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA MWANZA ASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA MANASSE"
Post a Comment