Loading...
title : SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi
link : SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi
SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi
Mwenyekiti wa (SHIWATA) marehemu Cassim Taalib kusoto enzi za uhai wake.
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa dua kesho Jumamosi ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti wao marehemu Cassim Taalib aliyefariki Juni mwaka huu.
Kaimu Mwenyekiti wa SHIWATA, Deo Kway alisema dua hiyo itakayoongozwa na shekhe wa wilaya ya Ilala wasanii mbalimbali na viongozi wa chama na serikali wamealikwa.
SHIWATA imekuwa ikisoma dua kila mwaka unakumbuka baba wa taifa,Julius Nyerere na kila inapotokea vifo vya wanachama wake ikiwemo vifo vya wasanii wa bendi ya taarabu ya Five Stars na mwigizaji wa filamu Steven Kanumba.
Marehemu Taalib atakumbukwa na Wanashiwata kwa mikakati yake ya kuwaunganisha wasanii na kuwatafutia maisha bora ya kuanzisha kijiji cha wasanii cha Mwanzega wilayani Mkuranga na kununua shamba kwa ajili ya wasanii.
Pia alikuwa msimamizi wa wanamichezo na kuendesha matamasha mbalimbali ya wasanii na kuinua vipaji vya wasanii wanaotamba katika fani mbalimbali za maigizo,sarakasi na ngoma za asili.
Hivyo makala SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi
yaani makala yote SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/shiwata-kumkumbuka-mwenyekiti-wao.html
0 Response to "SHIWATA kumkumbuka Mwenyekiti wao Jumamosi"
Post a Comment