Loading...

MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC.

Loading...
MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC.
link : MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC.

soma pia


MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC.

Matokeo mazuri ya kila jambo yanahitaji maandalizi timamu na ndivyo tunavyofanya kuelekea msimu mpya wa ligi daraja la kwanza.

Wakati maandalizi yakiwa yamenoga jana tumetangaza tarehe rasmi ya utambulisho wa timu kwa wakazi wa Temeke na mkoa wa Dar es salaam kwa ujumla.

Mtendaji mkuu wa klabu Abubakar Jafo amewaambia wanahabari kwamba kuanzia leo ni wiki ya REHA FC ambapo kilele chake itakua siku ya jumapili kwenye uwanja wa Bandari Tandika. 

"Wiki ya Reha itahusisha shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kufungua matawi yetu na kuhitimishwa kwa michezo maalum itakayohusisha timu nne ambazo ni Mtibwa, KMC na Transit Camp  na wenyeji Reha fc" amesema Jafo.

Jafo amesema michezo hiyo itaanza jumamosi kwa mchezo wa mapema saa 8 mchana kati ya Reha dhidi ya Transit Camp na saa 10 jioni Mtibwa itacheza na KMC kisha washindi watacheza fainal siku ya jumapili jioni huku waliofungwa wakicheza mchana. "Siku hiyo tutaitumia kuwatambulisha wachezaji wetu pamoja na benchi la ufundi".


Mtendaji Mkuu wa timu ya Reha Fc Abubakar Jafo 


Hivyo makala MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC.

yaani makala yote MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mtibwa-kmc-kuitambulisha-reha-fc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC."

Post a Comment

Loading...