Loading...
title : MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
link : MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika ukumbi wa mikutano katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo wakati akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018.
Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
Mwenyekiti wa CCM John Magufuli akisalimiana na makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula na katikati ni Dk.Bashiru Ali Katibu mkuu wa CCMmjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM alipowasili katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018. PICHA NA IKULU
Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mwenyekiti-wa-ccm-taifa-dkt-john.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA"
Post a Comment