Loading...

NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU.

Loading...
NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU.
link : NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU.

soma pia


NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU.

Na Dixon Busagaga,Moshi.

CHAMA cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU) kimeiomba serikali kutunga sera ya uwepo wa eneo rafiki la kulelea au kunyonyeshea watoto katika sehemu za Kazi pamoja na kuunda chombo cha kusimamia utekelezwaji wa uwepo wa sera ya unaynyasaji wa kijinsia katika taaasisi za elimu ya juu nchini.

Mbali na ombi hilo THTU pia kimewasilisha ombo kwa serikali la kuundwa Vyombo vya kufuatilia waajiri ambao hawazingatii maagizo ya sera zinazotungwa na serikali ili kulinda haki na maslahi ya wafanyakazi sambamba na uwepo wa muundo wa utumishi kwa wafanyakazi waendeshaji katika taasisi za umma za elimu ya juu nchini.

Hayo yalibainishwa wakati wa mkutano mkuu wa tano wa chama hicho unaofanyika kwa siku mbili katika Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) ukishirikisha zaidi ya wanawake 80 kutoka vyuo vikuu 36,vitatu vikiwa ni vya binafsi na 33 vya serikali .

Katika risala yao kwa mgeni rasmi ,iliyosomwa na katibu wa THTU,Amina Mdidi ,wanawake hao walisema THTU imekuwa ikikabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ya kutokuwepo kwa mwongozo wa mishahara au bodi ya kusimamamia na kudhibiti malipo ya watumishi kwa vyuo binafsi.

“Changamoto nyingine zinazootukabili ni baadhi ya taasisi kutolipa nauli za likizo kwa enza wa wafanyakazi wanawake (Mume) na watoto chini ya miaka mitano na ukosefu wa vituo rafiki kwa malezi ya watoto wachanga”alisema Mdidi.
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akitamburishwa baadhi ya viongozi walioshiriki mkutano mkuu wa tano wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu Tanzania (THTU) unaofanyika mjini Moshi.
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa tano wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu Tanzania (THTU) unaofanyika mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu Tanzania (THTU) Dkt Paul Loisulie akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa kamati ya Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu Tanzania(THTU),Salma Fundi akizungumza katika mkutano huo.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo.
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akiwa katika picha ya pmaoja na washiriki wa mkutano huo.NA Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.






Hivyo makala NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU.

yaani makala yote NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/naibu-waziri-stella-ikupa-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TANO WA THTU."

Post a Comment

Loading...