Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE
link : NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE
NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kisiwa cha Gana wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza ambapo aliwasisitiza polisi pamoja na mgambo wanapoenda kwenye operesheni ya kupambana na uvuvi haramu wawewanaenda na maafisa uvuvi kwa kuwa wao wanajua zana haramu pamoja samaki wasioruhusiwa kisheria.
(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Naibi Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akipanda boti ya kizamani, tayari kwa ajili ya safari ya kuelekea katika kisiwa cha Gana Wilaya ya Ukerewe kwaajili ya kuhamasisha ufungaji wa samaki kwa vizimba katika Vctoria.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega wapili (kushoto) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Sengerema,Lucas Magembe (kushoto) wakiwasili katika kisiwa cha Gana.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/naibu-waziri-wa-mifugo-na-uvuvi.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE"
Post a Comment