Loading...

NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO

Loading...
NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO
link : NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO

soma pia


NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO

 Washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya semina iliyohusu kubadilishana uzoefu wa usafirishaji wa mizigo barani Afrika.
Kamishna wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Usaje Asubisye akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo baada ya semina ya kujadili na kubadilishana uzoefu kuhusu usafirishaji wa mizigo kati ya nchi moja na nyingine barani Afrika.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii

Na Said Mwishehe, Globu ya Jamii
NCHI wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wamekutana Dar es Salaam kujadili na kubadilishana uzoefu wa kutatua changamoto hasa wanazokutana nazo katika usafirishaji mizigo kati ya nchi moja na nyingine.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Usaje Asubisye wakati anafungua semina kwa washiriki wa nchi hizo.

Amefafanua msingi wa kukutana kwao ni kujadili kwa kina kutatua changamoto zilizopo na lengo lao ni kuhakikisha nchi za Afrika zinashiriki kikamilifu katika kujenga uchumi.

Ametaja baadhi ya nchi ambazo zimeshiriki semina hiyo ni Rwanda,Afrika Kusini ,Kameruni,Every Coast na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

Amesema kuwa pamoja na mambo mengine watajadili namna ya kuboresha utoaji huduma ya kusafirisha mizigo na kwa Tanzania nayo itatoa uzoefu wake na namna ambavyo wamefanikiwa kuondoa changamoto.

“Afrika tunataka liwe bara ambalo litakuwa na uchumi imara na hivyo kwetu sisi kupitia semina hiii tutaangalia nini kifanyike ili tupige hatua,”ameongeza.


Hivyo makala NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO

yaani makala yote NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/nchi-za-afrika-wakutana-dar-kutatua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA DAR KUTATUA CHANGAMOTO ZA USARISHAJI MIZIGO"

Post a Comment

Loading...