Loading...
title : RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI
link : RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI
RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya
siku moja leo Agosti 9, 2018
Rais
wa Uganda, Yoweri Museveni (kati kati) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda baada ya kuwasili, kulia ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Magufuli.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Hivyo makala RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI
yaani makala yote RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rais-museveni-awasili-dar-es-salaam-kwa_9.html
0 Response to "RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI"
Post a Comment