Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari hawapo pichani mara baada ya kikao chake na Rais wa Uganda Yoweri Museveni Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na wanahabari hawapo pichani mara baada ya kikao chake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Uganda Yoweri
Museveni mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kutoka kwenye chumba cha mkutano
wa Wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Uganda Yoweri
Museveni mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kufanya_76.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment