Loading...
title : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019
link : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza wakati akiwakaribisha waandishi wa habari katika mkutano ambao Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alielezea mambo mbalimbali yanayohusu matarajio na malengo ya shirika hilo, kwa mwaka 2018/2019, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akielezea masuala mbalimbali yanayohusu matarajio na malengo ya shirika hilo, kwa mwaka 2018/2019. Kushoto ni Postamasta Mkuu wa shirika, Hassan Mwang’ombe.
Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019
yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/shirika-la-posta-tanzania-laeleza.html
0 Response to "SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAELEZA MATARAJIO NA MALENGO YAKE KWA MWAKA 2018/2019"
Post a Comment