Loading...
title : Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu
link : Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu
Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akifungua mkutano wa wadau (hawapo pichani) wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu unaofanyika kwa siku mbili mjini Morogoro. Kulia ni Mkurugenzi wa Ajira na Maendeleo ya Watumishi, Bibi Christina Hape na kushoto ni Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu
Mkurugenzi wa Ajira na Maendeleo ya Watumishi, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Christina Hape akitoa ufafanuzi wa utendaji kazi wa Tume ya Utumishi wa walimu. Katikati ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa na kushoto ni Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu.
Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu akiongea na wajumbe (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu. Katikati ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akifuatiwa na Mkurugenzi wa Ajira na Maendeleo ya Watumishi, Bibi Christina Hape.
Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu akiongea na wajumbe (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu.
Washiriki wa Mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu wakichukua dondoo muhimu wakati wa mkutano.
Afisa Sheria wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Deogratias Haule akitoa maelezo katika mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu unaofanyika mjini Morogoro.
Hivyo makala Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu
yaani makala yote Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wadau-wa-elimu-wajadili-marekebeisho-ya.html
0 Response to "Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu"
Post a Comment