Loading...
title : WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
link : WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (SMZ), Mohamed Aboud Mohamed (aliyeshika mkasi), akizindua Ripoti ya Takwimu ya Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wakati wa kuhitimisha warsha iliyozikutanisha nchi 16, uliokuwa na lengo la Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, Tanzania ikiwa mwenyeji wa mkutano huo, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Binadamu, Amatus Magere.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (SMZ), Mohamed Aboud Mohamed akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya Takwimu ya Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wakati wa kuhitimisha warsha iliyozikutanisha nchi 16, uliokuwa na lengo la Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, Tanzania ikiwa mwenyeji wa mkutano huo, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (SMZ), Mohamed Aboud Mohamed,akisalimiana na wawakilishi wa nchi mbalimbali baada ya kuzindua Ripoti ya Takwimu ya Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wakati wa kuhitimisha Warsha iliyozikutanisha nchi 16, uliokuwa na lengo la Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu,Tanzania ikiwa mwenyeji wa mkutano huo,uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (SMZ), Mohamed Aboud Mohamed (katikati mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki kutoka nchi 16 baada ya kuzindua Ripoti ya Takwimu ya Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wakati wa kuhitimisha Warsha iliyozikutanisha nchi hizo, uliokuwa na lengo la Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, Tanzania ikiwa mwenyeji wa mkutano huo, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.
Hivyo makala WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/waziri-azindua-ripoti-ya-takwimu-ya.html
0 Response to "WAZIRI AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment