Loading...

WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

Loading...
WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA
link : WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

soma pia


WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto meza kuu) akizijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama baada ya Wizara yake kukutana na Kamati hiyo Jijini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto meza kuu), akisoma Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu hali ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao kwa kipindi cha Agosti 2018 mbele ya Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. 
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Azzan Zungu (kushoto) akifafanua jambo katika kikao cha Kamati hiyo ambapo wamekutana na  Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kupokea Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu hali ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao kwa kipindi cha Agosti 2018 na Taarifa ya utekelezaji wa Majukumu ya Jeshi la Zimamoto, katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiingia katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo, kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Nyuma ya Waziri, ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/waziri-lugola-awaongoza-watendaji-wakuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI LUGOLA AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA"

Post a Comment

Loading...