Loading...
title : ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU.
link : ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU.
ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU.
Watanzania wametakiwa kuungana pamoja katika kuijenga nchi na kudumisha amani ilyopo kuthaminiana , kusaidiana na kutoa ushirikiano kwa Serikali katika kutekeleza majukumu yake.
Hayo yamesemwa na Akofu wa Dayosis ya Dar es salaam wa kanisa Anglicana Jackson Sosthnes Jackson ,katika Ibada ya kuweka jiwela msingi katika jingo la kanisa la mtakatifu Elizabeth Chanika Jijini Dar es salaam, na kuwashukuru waumini wa kanisa hilo kwa moyo wao wa kujitolea kwa hali na mali.
“Niwashukuru sana mliotoa kwaajili ya ujenzi wa kanisa najua mmeacha kuweka sakafu nyumbazenu ,mmeacha kuboresha makazi yenu na kuamua kumjengea Bwana nanimaombi yangu kuwa mbingu zisiwe kimya Mungu awabariki na kuwazidishia” alisema
Aidha amewatiamoyo wote waliochangia ujenzi huo na kuwaombea kwa Mungu awaepushe na magonjwa na kubariki kazi za mikono yao, katika hatua nyingine Askofu Jackson ameongoza ibaadaya ya kipaimara ambapo vijana 43 wamewekewa mikono na kuwathibishwa ikiwemo kujazwa roho mtakatifu na kuwataka kulitaka kanisa kuwa karibu na Mungu.
Nao baadhi ya waumini na vijana walipata kipaimara wamewahimiza vijana wenzao amambao bado hawajafika daraja hilo kuchangamkia mafundisho kwani muda hauwasubiri .
Ujenzi wa Kanisa la Mtakatifu Elizabeth ,unatarajiwa kugharimu jumla ya shilingi million 600 ,ambapo kwa sasa tayari zaidi ya shilingi million 30 zimeshatumi na jingo liko katika hatua ya kusimamisha nguzo usa wa lenta,na zoezi la kuchangia ujenzi huo linaendelea.
Pamoja na hayo Askofu Sosthenes amewaombea hekima na afya njema Rais wa Jmamhuri ya Muungano wa Tanzania na viongozi wengine wa Serikali iliwaongoze chini ya ungozi wa Mungu kama apendavyo.
‘’Hivi karibuni tuliptwa na msiba mkubwa wenzetu walipatwa na ajali ya maji huko Ukerewe tunazipapole familia zote na watanzania kwa ujumla niwasihi tuwe na tumaini na mungu aliepushe taifa letu na maafa kamahayo’’alisema
Hivyo makala ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU.
yaani makala yote ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/askofu-jackson-sosthenes-aweka-jiwe-la.html
0 Response to "ASKOFU JACKSON SOSTHENES AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KANISA ANGLIKANA CHANIKA , ATOA UJUMBE HUU."
Post a Comment