Loading...

Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar.

Loading...
Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar.
link : Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar.

soma pia


Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said alipowasili katika eneo la Tunguu kunakotarajiwa kujengwa Jengo la Kisasa la Mahkama Kuu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakati alipowasili katika eneo hilo kuangalia matayarisho ya Ujenzi wa jengo la Mahkama Kuu Zanzibar katika eneo la Tunguu Zanzibar. Mkuu wa Mkoa wa Kusin Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan (kushoto) (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri na Waziri wa Ardhi,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Mipango Miji katika Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Dkt.Mohamed Juma Mohamed alipotembelea katika   Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar huko Tunguu Wakiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Mipango Miji katika Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Dkt.Mohamed Juma Mohamed alipotembelea katika   Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar huko Tunguu Wakiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya leo,



Hivyo makala Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar.

yaani makala yote Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/dktshein-afanya-ziara-ya-kutembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt.Shein Afanya Ziara ya Kutembelea Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Jengo la Mahkama Kuu Zanzibar."

Post a Comment

Loading...