Loading...
title : KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA
link : KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA
KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia kwa karibu Uwasilishwaji wa Taarifa ya Ukaguzi katika Mkoa wa Singida walipotembelea Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mkoa wa Singida.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akifuatilia Uwasilishwaji wa Taarifa kutoka kwa Naibu wa Mdhibiti Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Ndg. Wendy Massoy katika Kikao kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida hii leo, Kamati hiyo ipo katika Ziara Mkoani humo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa George Simbachawene wakiwa katika kikao na Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida hii leo Kamati hiyo ilipofanya ziara yake Mkoani humo.
Hivyo makala KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA
yaani makala yote KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kamati-ya-bajeti-yatembelea-ofisi-ya.html
0 Response to "KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MKOA WA SINGIDA"
Post a Comment