Loading...
title : Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.
link : Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.
Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.
Kiongozi wa Afya TanzaniaDr. Michael Mpeke akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na Mkutano wa Mafunzo ya Upasuaji wa Uti wa Mgogo na Vichwa Maji katika Hospitaliu ya Mnazi Mmoja kupitia Kituo cha Neuro Hospital ya Mnazi mmoja Zanzibar.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohamed akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusu Mkutano wa Mafunzo ya Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Vichwa maji katika kituo cha Neuro Hospitali ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.
yaani makala yote Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mafunzo-ya-upasuaji-wa-vichwa-maji.html
0 Response to "Mafunzo ya Upasuaji wa Vichwa Maji Katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar."
Post a Comment