Loading...
title : SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA
link : SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA
SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA
Mwalo wa kijiji cha Igombe wilayani Ilemela mkoani Mwanza ukiwa umepambwa na mitumbwi ya wavuvi wa samaki katika ziwa Victoria hivi karibuni. Eneo hilo ni marufu kwa uvuvi na uuzaji samaki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kisiwa cha Makobe kilichopo kwenye ziwa Victoria kati ya wilaya ya Ilemela na Ukerewe mkoani Mwanza ni moja kati visiwa vingi vilivyopo katika ziawa hilo vyenye makazi ya wavuvi. Picha hii imepigwa hivi karibuni.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA
yaani makala yote SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/sehemu-ya-vivutio-katika-ziwa-victoria.html
0 Response to "SEHEMU YA VIVUTIO KATIKA ZIWA VICTORIA"
Post a Comment